Imewekwa: October 11th, 2024
Na. Edgar Nkilabo - Sikonge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi Katika mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa victoria wa miji ya Sikong...
Imewekwa: October 8th, 2024
Maafisa waandikishaji orodha ya wapiga kura wapatao 418 wamepatiwa mafunzo kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Mafunzo haya yamejikita mahususi katika kutoa mael...
Imewekwa: September 30th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Sikonge Ndg. Seleman Pandawe ameendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata na vijiji. Lengo la mafunzo haya ni kuhakikisha kuwa ...