Imewekwa: August 1st, 2024
Kamati ya usalama mkoa wa Tabora ikiongozwa na katibu tawala mkoa Dkt. John Mboya imefanya ziara Sikonge kukagua miradi ya maendeleo itakayopitiwa na mbio za mwenge wa uhuru 2024.
Mirad...
Imewekwa: July 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Sikonge,Mhe. Cornel Lucas Magembe ameongoza kikao cha tathmini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe ngazi ya kata na wilaya katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya wilaya ya Sikong...
Imewekwa: July 17th, 2024
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imeendesha mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga Kura wilayani Sikonge kwa maafisa waandikishaji wasaidizi na maafisa waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki...