Imewekwa: October 8th, 2024
Maafisa waandikishaji orodha ya wapiga kura wapatao 418 wamepatiwa mafunzo kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Mafunzo haya yamejikita mahususi katika kutoa mael...
Imewekwa: September 30th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Sikonge Ndg. Seleman Pandawe ameendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata na vijiji. Lengo la mafunzo haya ni kuhakikisha kuwa ...
Imewekwa: September 24th, 2024
Kikao cha kujadili maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa kimefanyika wilayani Sikonge, kikijumuisha wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za umma, vyombo...