WATU WENYE ULEMAVU WANAHAKI YA KUHESABIWA
Mjumbe wa Kamati ya Sensa Wilaya ya Sikonge Ramadhan Mtetengwa akihamasisha wananchi kutowaficha watu wenye Ulemavu ifikapo siku ya sensa Agosti 23, 2022.
Mtetengwa amewataka wananchi kutoa taarifa za watu wenye Ulemavu walio katika jamii ili waweze kuhesabiwa kwa kuwa ni watanzania na wanahitaji huduma zote za Msingi ikiwemo Elimu, Afya na zinginezo.
#jiandaekuhesabiwaagosti23
#sensakwamaendeleoyetu
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa