• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

TUNAOMBA TUPATIWE MAFUNZO YA KIUTUMISHI YATUSAIDIE KUTUJENGEA UWEZO WA KUHUDUMIA JAMII" WATENDAJI SIKONGE.

Imewekwa: October 21st, 2021


TUNAOMBA TUPATIWE MAFUNZO YA KIUTUMISHI YATUSAIDIE KUTUJENGEA UWEZO WA KUHUDUMIA JAMII" WATENDAJI SIKONGE.

Watendaji wa Kata na Vijiji Wilayani Sikonge wameomba kupatiwa mafunzo ya kiutumishi yanayoendana na wakati ili waweze  kutekeleza majukumu yao.

Watumishi hao wameyasema hayo mbele ya Mkurugenzi  ambae ameendelea na ziara katika  kata  za; Kipanga, Kiloleli na Usunga na   kuongeza kuwa kwa kupatiwa semina/mafunzo mbalimbali yatawajengea uwezo wa kiutumishi ili waweze kutatua changamoto na kutekeleza majukumu yao ya kila siku kwa ufanisi.

"Tunaomba tupatiwe semina kuna masuala ya kisheria mengi ambayo tunashindwa kuyatatua kutokana na kutokujua sheria na taratibu mbalimbali hali inayopelekea kufanya maamuzi mengine ambayo si sahihi kulingana na wakati ..." Mtendaji kata ya Kipanga.

Aidha,Kaimu Mkurugenzi ambae pia Ni Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu(W) Nico Kayange amesema atalifanyia kazi ombi hilo kwa kuwa ni muhimu kwa ustawi wa watumishi  huku akiwashauri watumishi kujiendeleza kielimu ili waongeze ufanisi katika utendaji wao.

Sambamba na hilo Ndg. Kayange  ameahidi kutatua changamoto na kero zote ambazo watumishi hao wamezitoa akishirikiana na menejimenti nzima  ili kwa pamoja waweze kufanya kazi katika mazingira bora na rafiki huku akiwataka watumishi wote kufanya kazi kwa weledi wakizingatia sheria na taratibu za utumishi wa Umma.

Na.Anna Kapama

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • WALIMU WAPYA WALIOAJIRIWA WILAYANI SIKONGE KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 2025 WAPATIWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

    July 14, 2025
  • Waganga Wakuu wamemtunukia Rais Tuzo, Mhe. Mpango awapongeza, atoa maelekezo mahususi.

    July 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA MTEULE WA WILAYA YA SIKONGE MHE.THOMAS MYINGA ALA KIAPO KUANZA KAZI RASMI AKIRITHI MIKOBA YA MTANGULIZI WAKE MHE.CORNEL MAGEMBE

    July 02, 2025
  • WATUMISHI WA UMMA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA E-UTENDAJI (PEPMIS)

    June 25, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa