• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

MITAMBO YA KURUSHA MATANGAZO YA TBC KUIMARISHWA NDANI YA SIKU 7 SIKONGE.

Imewekwa: January 10th, 2023

Sikonge_Tabora


Na.Anna Kapama


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Nape Nauye amewaagiza maafisa wasimamizi wa Mitambo ya Kurusha Matangazo ya Redio ya TBC kushughulikia hitilafu ya umeme katika Mitambo ya Kurusha matangazo ya Redio Kwa kuagiza Transfoma kutoka Mwanza Kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo ambayo imedumu Kwa takribani Mwezi mmoja na kukosa usikivu wa matangazo hayo Kwa wananchi.


Mh.Waziri Nape ametoa Maelekezo hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa kituo cha kurushia matangazo ya Redio ya TBC  Taifa na TBC FM Wilaya ya Sikonge aliyoifanya leo Januari 10, 2022.


Aidha, Mhe.Nauye amewasisitiza wataalamu wa Mitambo hiyo kufunga Teknolojia inayoweza kuzuia radi ili kuondoa changamoto ya Hitilafu ya umeme katika Mitambo ya kurusha Matangazo.


Kwa Upande wake Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mhe.Joseph Kakunda ameipongeza Serikali Kwa kuendelea kuboresha Huduma ya Teknolojia ya Habari na  Mawasiliano na kuweka minara ambayo imesaidia wananchi wa  Wilaya ya Sikonge kupata taarifa mbalimbali za maendeleo kupitia matangazo ya Redio ya TBC.


Usikivu wa Matangazo ya Redio ya TBC Taifa  na TBC FM yatarejea Kwa Muda wa Siku saba zijazo mara baada ya Changamoto ya umeme katika Mitambo hiyo kuwa imetatuliwa.


#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA November 15, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA WA MAGARI NA PIKIPIKI CHAKAVU February 10, 2023
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA KATIKA ENEO LA VIWANDA February 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA UWAKILISHI WA JUMUIYA YA HIFADHI WANYAMA PORI IPOLE March 03, 2022
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MENEJA TARURA MKOA WA TABORA AFANYA ZIARA TARAFA YA KIWERE KUSHUHUDIA UHARIBIFU WA BARABARA.

    February 04, 2023
  • SUALA LA LISHE NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI YA AWAMU YA SITA"DED PANDAWE.

    February 07, 2023
  • HAFLA YA MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA SIKONGE.

    January 31, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA TSH.BILIONI 40.7 MPANGO WA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    January 30, 2023
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa