Viongozi na umati wa Wananchi wa Wilaya ya Sikonge wamejitokeza kumpokea Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Taifa Ndg.Shaka Hamdu Shaka katika ziara yake ya Siku moja Wilayani Sikonge.
Ndg.Shaka amekagua Miradi Mitatu ya Maendeleo ikiwemo Jengo la Wagonjwa wa Dharula (EMD), Kituo Cha Kupoza Umeme Cha Ipole na Kiwanda Cha kati Cha Kuchakata na kufungasha mazao ya Nyuki sambamba na Kuzungumza na Wananchi wa Sikonge.
#kaziiendelee
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa