MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU NGAZI YA MKOA-TABORA.
Mgeni Rasmi ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe.Balozi.Dkt Batilda Buriani akikagua bidhaa mbalimbali alipotembelea banda la wajasiriamali la Wilaya ya Sikonge ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru ambayo Kimkoa yameadhimishwa katika Viwanja vya Nanenane Mkoani Tabora.
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa