• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

TEHAMA

  

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri ambao uliidhinishwa mwaka 2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi 2 ambao ni Afisa habari na uhusiano mmoja na mtaalam mmoja wa masuala ya TEHAMA (Computer). Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya Halmashauri. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

  • Habari na uhusiano
  • TEHAMA

Majukumu ya Kitengo 

  • Kuandaa miadi ya mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari
  • Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na manispaa kwa kufuata maelekezo ya mkurugenzi
  • Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi, jarida, )
  • Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya mkurugenzi/Mwenyekiti na waandishi wa habari.
  • Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri kama vile baraza.
  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri inaandaliwa na inafanya kazi.
  • Kuhakikisha Halmashauri inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.
  • Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)
  • Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri, ifuatayo ni mifumo inayosimamiwa
    • Mfumo wa Hcmis(Lawson)
    • Mfumo wa Rasilimali Fedha (Epicor)
    • Mfumo wa PReM
    • Mfumo wa BEMIS
    • Mfumo wa Mapato ( LGRCIS)
    • Kusimamia Mashine za kieletroniki zinazokusanya Mapato(POS Machine)
    • Kusimamia mfumo wa TASAF (PSSN)
    • Mfumo wa FFARS
    • Mfumo wa PlanRep
  • Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA November 15, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA WA MAGARI NA PIKIPIKI CHAKAVU February 10, 2023
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA KATIKA ENEO LA VIWANDA February 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA UWAKILISHI WA JUMUIYA YA HIFADHI WANYAMA PORI IPOLE March 03, 2022
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MENEJA TARURA MKOA WA TABORA AFANYA ZIARA TARAFA YA KIWERE KUSHUHUDIA UHARIBIFU WA BARABARA.

    February 04, 2023
  • SUALA LA LISHE NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI YA AWAMU YA SITA"DED PANDAWE.

    February 07, 2023
  • HAFLA YA MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA SIKONGE.

    January 31, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA TSH.BILIONI 40.7 MPANGO WA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    January 30, 2023
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa