Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anapenda kuwatangazia wafuatao kwamba wanatakiwa kufika kwenye usaili wa nafasi ya kazi ya Mtendaji wa kijiji III kama ilivyotangazwa kupitia tangazo lenye Kumb. Na. HWS/M.10/15/VOL.II/01 la tarehe 29 Julai 2020. Kupakua Tangazo Bofya TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa