• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
      • Sanaa za Video
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SIKONGE

Imewekwa: December 15th, 2020

UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI SIKONGE

 Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, imefanya kikao cha Uzinduzi wa Baraza la Madiwani leo , ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati. Katika Uzinduzi huo, Waheshimiwa Madiwani waliapishwa, ziliundwa Kamati za Kudumu za Halmashauri pamoja na kuchagua Wenyeviti wa Kamati.

Mara baada ya zoezi la kuapishwa, Waheshimiwa walipiga kura za ndio kumchagua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge na Makamu Mwenyekiti, ambapo Mhe. Rashid Maulid Magope alipita kwa kupata kura zote za ndio pamoja na Makamu wake Mhe. Mayeka Tungu Mbusa.

Aidha, zoezi la kuunda Kamati za kudumu za Halmashauri lilifanyika na baadae kufanyika uchaguzi wa Wenyeviti wa Kamati hizo. Ambapo Mhe. Gasto Andrea Luambano alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira na Mhe. Juma Ikombola alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji. Pia Kamati ya Kudhibiti Ukimwi Mwenyekiti wake ni Mhe. Mayeka Mbusa na Kamati ya Maadili, Mwenyekiti wake ni Mhe. Andrea Petro Masanja.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE February 25, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 (JOINING INSTRUCTION) SHULE ZA SEKONDARI SIKONGE DC December 17, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE January 30, 2018
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI SIKONGE LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2021/2022

    February 02, 2021
  • ZANA HARAMU ZA UVUVI ZAKAMATWA SIKONGE

    December 17, 2020
  • MADIWANI SIKONGE WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    December 15, 2020
  • UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI WILAYANI SIKONGE

    December 15, 2020
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa